WE ARE HIRING

AFISA MAUZO

Je, wewe ni uko tayari kupata kipato kupitia sekta ya ardhi na nyumba? Jiunge na timu yetu inayokua ya

wasaka fursa hapa National Wide Real Estate.

Utakachonufaika Nacho:

  • Masaa ya kazi ya kubadlika
  • Fanya kazi kutoka mahali popote
  • Malipo kwa mujibu wa utendaji wako

Majukumu Yako:

  • Watuunganishe na wamiliki wa mali wanaopangisha au kuuza
  • Tusaidie kukuza orodha yetu kwa mali zilizothibitishwa
  • Hiari: Wasaidie wateja kupata mali wanazotafuta (bonuses ni za hali ya ju)

INTERVIEWS:

DATES: Aug, 11-15 2025

TIME: 5 ASUBUHI – 9 MCHANA

LOCATION: Mwenge Mpakani

Kwa Maelezo Zaidi:

Email: info@nationalwiderealestate.org