Sales Manager at Rose Centre , Dar es Salaam – September 2025 ( Walk In Interview )

Full Time

Rose Centre

Buguruni Rozana – Dar es Salaam

Sales Manager at Rose Centre , Dar es Salaam – September 2025

🔊 NAFASI ZA KAZI: ROSE CENTRE 🔊

Kampuni ya Rose Centre inatafuta Sales Manager wenye uwezo na bidii katika kazi za mauzo na kujiunga na timu yetu.

SIFA ZA MWOMBAJI:

  • Umri kuanzia miaka 26 na kuendelea
  • Jinsia zote zinahitajika
  • Awe mchapakazi na mwenye nidhamu
  • Awe na uwezo mzuri wa kuzungumza vizuri na wateja
  • Awe amewahi kufanya kazi za sales kwa angalau mwaka mmoja
  • Mkazi wa Dar es Salaam
  • Awe na nakala ya kitambulisho cha NIDA au cha mpiga kura

USAILI UTAFANYIKA:

  • Mahali: LEKAM HOTEL, Buguruni Rozana – Dar es Salaam
    🗓 Tarehe: Ijumaa, 26 Septemba
    🕘 Muda: Saa 3:00 asubuhi kamili.
    💰 Malipo: 20,000 TZS kwa siku

📞Wasiliana nasi kwa: 0795 241 893 – Bofya Hapa kutuma CV Yako Kwa WhatsApp Sasa Hivi

🛑 Usaili utafanyika siku moja tu – hakutakuwa na siku ya pili.

———-

Job Title: Sales Manager

Company: Rose Centre

Location: Dar es Salaam

Candidate Requirements:

  • Age: 26 years or older
  • Gender: All genders are welcome
  • Qualities: Hardworking and disciplined
  • Experience: At least one year in sales
  • Communication Skills: Good communication skills with customers
  • Residency: A resident of Dar es Salaam
  • Required Document: A copy of a NIDA or voter ID card

Interview Details:

  • Type: Walk-in interview
  • Venue: LEKAM HOTEL, Buguruni Rozana, Dar es Salaam
  • Date: Friday, September 26th
  • Time: Exactly 9:00 AM
  • Payment: 20,000 TZS per day

Important Notes:

To apply for this job please visit wa.link.

Spread the love