Nafasi ya Kazi TEF Consult- Dereva (Driver)

Full Time

Website TEF Consult

Tanzania Empowerment Forum (TEF) is a non-profit making company registered in Tanzania in the year 2016

Nafasi ya Kazi TEF Consult- Dereva (Driver)

Nafasi ya Kazi: Dereva (Driver)

Muhtasari wa Kazi

TEF Consult inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Dereva mwenye weledi, uwajibikaji, na uwezo wa kuendesha magari kwa usalama na uangalifu. Muombaji atakayechaguliwa atahakikisha usalama wa abiria, mizigo, na gari, kufanya ukaguzi wa magari kabla na baada ya safari, pamoja na kutoa taarifa za matengenezo inapohitajika.

Sifa za Muombaji(Qualifications)

Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:

  1. Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea.

  2. Ujuzi wa ufundi wa magari na awe na cheti cha ufundi daraja A (Mechanics Certificate).

  3. Leseni halali ya udereva yenye madaraja C na E.

  4. Cheti cha Defensive Driving kinachotambulika.

  5. Cheti cha kuendesha magari maalum (faraja ya ziada).

  6. Cheti cha NIT (National Institute of Transport) kitahesabika kama faida zaidi.

Nyaraka za Kuambatanisha (Required Documents)

Waombaji wanapaswa kuwasilisha:

  • Barua ya maombi ya kazi

  • Nakala ya leseni ya udereva

  • Nakala ya kitambulisho cha NIDA

  • CV (Curriculum Vitae)

  • Cheti cha LATRA

  • Police Clearance (Uthibitisho wa kutokuwa na makosa ya jinai)

  • Mahali ulipo kwa sasa (Current location)

Jinsi ya Kuomba

Mada ya barua (Subject): Maombi ya Kazi – Dereva (Driver)

Human Resource Manager

Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult)
Email: info@tef.co.tz

au kwa barua
P.O. Box 33542, Dar es Salaam, Tanzania
Or

Online Application:

Mwisho ni  16/ Disemba 2025.

Recommended Read Also: Job Seekers, master these 5 questions to ace your next interview

See: How to Improve Your Chances of Getting Called for a Job Interview

See also: Best skills to list on your CV by industry

To apply for this job email your details to info@tef.co.tz

Spread the love