Assistant Clearance Officers (2) at FyCargo Tanzania, Dar es salaam December 2025

Full Time

Website FyCargo Tanzania

Assistant Clearance Officers (2) at FyCargo Tanzania, Dar es salaam December 2025

Tunatangaza nafasi za kazi kwa Assistant Clearance Officers (2),
Sifa zinazohitajika:

1.Awe mwanamke

2.Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili (2)

3.Uzoefu uwe ni lazima katika TRANSIT, IMPORT na EXPORT

4.Awe na cheti cha Clearing and Forwarding

5.Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa ushirikiano

📍 Mahali: Kurasini Dar Es salaam

Jinsi ya kutuma maombi:

Waombaji wenye sifa hizo watume maombi yao kupitia:
📧amaraexpresscompanylimited@gmail.com

See also: How to Get Employed in Tanzania

Madeni App: Mfumo Bora wa Kudai Madeni Uliotamadal na Kujitegemea (Automatiki)

To apply for this job email your details to amaraexpresscompanylimited@gmail.com

Spread the love