
Duka la Bidhaa za Urembo
Tunatafuta binti mchapa kazi na mkweli, mwenye shauku ya kujifunza na kutoa huduma bora kwa wateja, ili ajiunge na timu yetu katika duka la bidhaa za urembo.
Sifa Muhimu:
- Umri: Miaka 18 – 26.
- Elimu: Amemaliza kidato cha nne (Form 4).
- Dini: Mkristo.
- Eneo: Kilimahewa, Mwanza.
Kazi na Majukumu:
- Kupanga na kuuza bidhaa za urembo.
- Kuhudumia wateja kwa ufanisi na uaminifu.
- Kuhakikisha usafi na mpangilio wa duka.
Mshahara:
Mshahara utazungumzwa na kukubaliana na mwajiri.
Jinsi ya Kuomba:
Kwa wale mnaokidhi vigezo tajwa, tafadhali wasiliana nasi kwa namba: 0787726300.
Fursa hii ni kwa wakazi wa Kilimahewa , Mwanza au Maeneo ya Karibu na Kilimahewa pekee.
Gee Decor Mwanza TZ : Your style, your home!
Soma: Jinsi ya Kuanza Kujiajiri Tanzania
Soma pia: Jinsi ya Kujiajiri Tanzania Kupitia Huduma za Usafishaji: Ofisi, Nyumba, Magari
See: What a Recruiter is Suggesting Regarding your CV !
See also: CV Writing Services
See also: How to Write a Cover Letter That Actually Gets Read
View More Job Vacancies in Mwanza Region Here
For More up to date Opportunities Updates :
Tap / Click Here to Follow the Fursa Opportunities channel on WhatsApp