
Website Tutume Worldwide Ltd
We provide express parcel transportation and supply chain services across over Tanzan
📢 NAFASI ZA AJIRA – WAKUU WA MAUZO
Tunawakaribisha vijana wenye ari na nguvu kujiunga na timu yetu ya mauzo! 🚀
Sifa za Mwombaji:
Elimu: Kuanzia kidato cha nne (Form Four).
Awe na uwezo wa kuzungumza na kuwasiliana kwa Kiingereza na Kiswahili.
Uwe na uwezo wa kuuza na kushawishi wateja.
Awe na simu janja (smartphone) kwa ajili ya kutekeleza mauzo mtandaoni na nje ya mtandao.
Nia na moyo wa kujifunza na kukuza taaluma ya mauzo.
Majukumu:
Kuuza bidhaa/huduma za kampuni kwa wateja wapya na waliopo.
Kutafuta na kuendeleza wateja wapya kupitia njia mbalimbali za mauzo.
Kuhakikisha wateja wanapata huduma bora na kuridhika.
Faida:
Mafunzo ya mauzo na mawasiliano.
Fursa ya kukuza kipato chako kupitia malipo ya msingi na bonus/commission.
Uzoefu wa kitaalamu katika sekta ya mauzo na huduma kwa wateja.
👉 Kama wewe ni kijana mwenye malengo makubwa na unaamini unaweza kufanikisha mauzo, basi nafasi hii ni yako!
Tuma maombi yako (CV na mawasiliano) kupitia WhatsApp: Bofya Hapa Kutuma Maombi Yako Sasa
🕒 Mwisho wa kutuma maombi: Wanahitajika Haraka Iwezekanavyo
Short Online Courses for Accountants – With a Special Bonus !
To apply for this job please visit wa.link.