Rose Centre
Buguruni Rozana – Dar es Salaam
Sales Manager at Rose Centre , Dar es Salaam – September 2025
🔊 NAFASI ZA KAZI: ROSE CENTRE 🔊
Kampuni ya Rose Centre inatafuta Sales Manager wenye uwezo na bidii katika kazi za mauzo na kujiunga na timu yetu.
SIFA ZA MWOMBAJI:
- Umri kuanzia miaka 26 na kuendelea
- Jinsia zote zinahitajika
- Awe mchapakazi na mwenye nidhamu
- Awe na uwezo mzuri wa kuzungumza vizuri na wateja
- Awe amewahi kufanya kazi za sales kwa angalau mwaka mmoja
- Mkazi wa Dar es Salaam
- Awe na nakala ya kitambulisho cha NIDA au cha mpiga kura
USAILI UTAFANYIKA:
- Mahali: LEKAM HOTEL, Buguruni Rozana – Dar es Salaam
🗓 Tarehe: Ijumaa, 26 Septemba
🕘 Muda: Saa 3:00 asubuhi kamili.
💰 Malipo: 20,000 TZS kwa siku
📞Wasiliana nasi kwa: 0795 241 893 – Bofya Hapa kutuma CV Yako Kwa WhatsApp Sasa Hivi
🛑 Usaili utafanyika siku moja tu – hakutakuwa na siku ya pili.
———-
Job Title: Sales Manager
Company: Rose Centre
Location: Dar es Salaam
Candidate Requirements:
- Age: 26 years or older
- Gender: All genders are welcome
- Qualities: Hardworking and disciplined
- Experience: At least one year in sales
- Communication Skills: Good communication skills with customers
- Residency: A resident of Dar es Salaam
- Required Document: A copy of a NIDA or voter ID card
Interview Details:
- Type: Walk-in interview
- Venue: LEKAM HOTEL, Buguruni Rozana, Dar es Salaam
- Date: Friday, September 26th
- Time: Exactly 9:00 AM
- Payment: 20,000 TZS per day
Important Notes:
- The interview will be held for one day only.
- The provided contact number is 0795 241 893 – Tap Here to Submit CV on WhatsApp Now
To apply for this job please visit wa.link.
