Website Industrial Pacakaging Limited
Inspired Brand Solutions
🇹🇿 NAFASI ZA AJIRA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI – WASAIDIZI WA KIWANDANI
MAHALI: DAR ES SALAAM, TANZANIA
SEKTA: UZALISHAJI WA FLEXIBLE PACKAGING
IPL (INDUSTRIAL PACKAGING LIMITED) (IPL) NI KAMPUNI INAYOKUA KWA KASI KATIKA UZALISHAJI WA VIFUNGASHIO VYA PLASTIKI (FLEXIBLE PACKAGING). KUTOKANA NA UPANUZI WA SHUGHULI ZETU, TUNAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA WATU WENYE NIDHAMU, BIDII NA UWEZO WA KUFANYA KAZI ZA UZALISHAJI KUJIUNGA NA TIMU YETU.
NAFASI:
WASAIDIZI WA KIWANDANI (WAJIBU WENGI)
KAZI ZA UZALISHAJI (SLITTING, REWINDING, EXTRUSION, PRINTING & LAMINATION)
AINA YA AJIRA: MUDA WOTE (FULL-TIME)
KUMRIPOTI: MKUU WA ZAMU / MSIMAMIZI WA UZALISHAJI
MAJUKUMU YA KAZI
-
Kusaidia waendeshaji mashine katika vitengo vya Slitting, Rewinding, Extrusion, Printing na Lamination.
-
Kupakia na kupakua malighafi na bidhaa zilizokamilika.
-
Kuhakikisha usafi na mpangilio (5S) katika maeneo ya kazi na mashine.
-
Kusaidia kusogeza malighafi kati ya idara (stooala – uzalishaji – ubora).
-
Kusaidia waokoaji wa vifaa vya uzalishaji, masandiko ya hobi na marekebisho madogo madogo.
-
Kuweka lebo, kufunga na kuandaa bidhaa kulingana na maadizi ya uzalishaji.
-
Kufuatilia taratibu za usalama, ubora na maelekezo ya uzalishaji.
-
Kufanya majukumu mengine yatakayopangwa na msimamizi.
SIFA ZA WAOMBAJI
-
Elimu ya kiwango cha darasa la nne (O-Level).
-
Uzoefu wa kufanya kazi kiwandani ni faida.
-
Uwezo wa kufanya kazi za usiku au mchana kwa zamu.
-
Awe mwenye nguvu, mwaminifu, mwenye nidhamu na anayejifunza kwa haraka.
-
Uwezo wa kufanya kazi zinazohitaji nguvu za mikono.
TUNACHOTOA
-
Mshahara kulingana na viwango vya kampuni.
-
Fursa za kufanya ziada (Overtime) kulingana na mahitaji ya uzalishaji.
-
Mafunzo kazini na nafasi ya kupandishwa hadi kuwa operator wa mashine.
-
Mazingira salama na rafiki kwa wafanyakazi.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
Tuma barua ya maombi na CV kupitia:
BARUA PEPE: team@ipl-co.tz
KICHWA CHA BARUA YA MAOMBI: MSAIDIZI WA KIWANDANI
AU WASILISHA MAOMBI YAKO KWAKUFIK KATI YA GATI LA IPL (SECURITY GATE).
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI NI TAREHE 20/12/2025
To apply for this job email your details to team@ipl-co.tz
