WITO WA KUHUDHURIA MAFUNZO YA KUJIUNGA NA JESHI LA MAGEREZA ΤΑΝΖΑΝΙΑ
Mkuu wa Jeshi la Magereza anawatangazia vijana walioorodheshwa hapa chini kuwa wamechaguliwa kuhudhuria Mafunzo ya Awali ya Jeshi la Magereza yatakayoendeshwa katika Chuo cha Magereza, kilichopo Kiwira, Wilaya ya Rungwe, Mkoani Mbeya.
Vijana hawa wanatakiwa kuripoti Ofisi za Magereza za Mikoa walikofanyia usaili au Ofisi za Magereza za Mikoa ya jirani na mahali walipo kati ya tarehe 01-03 Desemba, 2025 ili kupata maelekezo ya mahitaji na utaratibu wa safari ya kwenda chuoni.
Aidha, Vijana wote waliochaguliwa wanatakiwa kufika chuoni tarehe 05 Desemba, 2025 bila kukosa.
Yeyote atakayechelewa kuripoti katika tarehe tajwa atakuwa amepoteza nafasi. Orodha ya majina ya vijana waliochaguliwa ni kama ifuatavyo:-
DOWNLOAD THE PDF FILE BELOW:-
Soma pia: Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI November 2025

