Fursa za Ajira NAOT: Nafasi 73 za Ajira – Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Full Time
  • Full Time
  • Dodoma

Website NAOT

Kabla ya uhuru wa Tanganyika Ofisi ilifahamika kama Idara ya Ukaguzi ndani ya Tanganyika na Kiongozi wa Ofisi hiyo alitambulika kama Mkurugenzi wa Ukaguzi. Mkurugenzi huyo aliteuliwa na Katibu wa Jimbo au Gavana Mkuu kwa maelekezo ya Katibu wa Jimbo kwa niaba ya Mfalme au Malkia wa Uingereza.

Fursa za Ajira NAOT: Nafasi 73 za Ajira – Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali

Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa za kujaza jumla ya nafasi 73 za kazi. Tangazo hili lilitolewa tarehe 08 Agosti, 2025.


Nafasi Zinazotangazwa:


Masharti ya Jumla:

  • Waombaji wote lazima wawe Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45, isipokuwa kwa wale ambao tayari wako kazini Serikalini.
  • Waombaji wenye ulemavu wanahamasishwa kuomba na wanapaswa kuainisha ulemavu walionao kwenye mfumo wa maombi.
  • “Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement of results” na hati za matokeo za kidato cha nne na sita (Form IV and Form VI Results Slips) hazitakubaliwa.
  • Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wanatakiwa kuhakikisha vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika kama TCU, NECTA, na NACTE.
  • Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 21 Agosti, 2025.
  • Maombi yote yanapaswa kuwasilishwa kupitia mfumo wa kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kwenye anwani ifuatayo: http://portal.ajira.go.tz/. Maombi yatakayowasilishwa nje ya utaratibu huu hayatafikiriwa.

Kwa maelezo zaidi, soma tangazo kamili lililotolewa na Katibu, Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma.

KUPAKUA TANGAZO HILO ( PDF) – BOFYA HAPA

Madeni App: Mfumo Bora wa Kudai Madeni Uliotamadal na Kujitegemea (Automatiki)

See more Job Vacancies in Tanzania Here

To apply for this job please visit portal.ajira.go.tz.