TAARIFA KWA UMMA: Wito wa Kujiunga na JKT Mujibu wa Sheria (Kidato cha Sita) Mwaka 2026
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, anatoa wito kwa vijana wote waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2026 kutoka shule zote za Tanzania Bara na Visiwani kuhudhuria Mafunzo ya JKT kwa Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria).
Sanjari na wito huo, JKT limewapangia vijana hao makambi watakayokwenda kupatiwa mafunzo hayo.
📅 Tarehe ya Kuripoti Makambini
Vijana wote waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti kwenye makambi waliyopangiwa kuanzia tarehe 01 Juni hadi tarehe 07 Juni 2026.
📑 JINSI YA KUANGALIA MAJINA (SELECTION PDF)
Kuangalia kambi uliyopangiwa na orodha kamili ya majina, bonyeza link zifuatazo:
- 📥 BONYEZA HAPA: Soma kwa Ukamilifu Tangazo Rasmi kutoka JKT (PDF)
- 📥 BONYEZA HAPA: Download Orodha ya Waliochaguliwa JKT 2026/2027 (PDF)
Kumbuka kushare taarifa hii na wengine ili iwafikie walengwa kwa wakati!

