INFORMATION CONSULTACY LTD
INFORMATION CONSULTACY LTD
Various Job opportunities at Information Consultancy Ltd August 2025
INFORMATION CONSULTANCY LTD
Location: Morogoro Mjini
1. KAZI YA KUFANYA STATIONERY – NAFASI 1
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kushiriki kufanya kazi za stationery.
ii. Awe anafahamu matumizi ya Internet kwenye Online Application.
iii. Awe anafahamu Graphics Design (Mfano kuandaa Kadi, Vipeperushi, Majalida, n.k)
iv. Awe na Elimu angalau kuanzia Kidato cha Nne (Form four).
v. Awe na Elimu ya Computer kwenye matumizi ya Microsoft Word na Microsoft Excel (Kwenye Excel awe anafahamu angalau zile basics mfano Formatting, Layout, Scale, Table, AutoFill, AutoSum, e.t.c).
vi. Kufanya kazi nyingine ya fani yake atakazopangiwa.
1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Mwenye fani ya Uhasibu, Fani ya Computer, Fani ya Secretarial Studies.
1.3 NGAZI YA MSHAHARA
TGS A 2
2. MTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHEMA (MOBILE APPLICATION NA WEBSITE) – NAFASI 1
2.1 MAJUKUMU YA KAZI
i. Kundaa sketch ya programu za tehama.
ii. Kuandaa database
iii. Kutengeneza website
iv. Kutengeneza mobile application
2.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Awe na uzoefu Juu ya TEHAMA katika fani ya utengenezaji wa Programu za Mifumo ya TEHAMA na ufahamu na maarifa ya vitendo katika Java EE, C#, C++ na Python pamoja na uwezo wa kufanya kazi za Mifumo ya Uhifadhi Data zenye Uhusiano (Relational DataBase Management Systems (RDMS).
2.3 MSHAHARA
Kulingana na Kazi.
Utaratibu wa kutuma maombi:
Mwombaji atume CV yake, Kitambulisho na Passport mbili).
Maombi yote yatumwe kwenye email address:
information.consultancy.co@gmail.com
To apply for this job email your details to information.consultancy.co@gmail.com
