Website Vibarua at Kifaru Paving Ltd
Read here details about Vibarua (Uzajishaji Paving) at Kifaru Paving Ltd, Dar es Salaam – October 2025.
NAFASI ZA KAZI!
Kampuni ya Kifaru Paving Ltd iliyoko Goba njia nne inapenda kuwatanganzia nafasi za kazi kwenye kiwanda chao cha kutengenezea paving.
Kitengo : Uzajishaji
Jinsia : Kiume
Umri : miaka 18 mpaka 40
Malipo : kwa wiki
Jinsi ya kuomba nafasi : Njoo Ofisini Goba njia nne karibu na Saisai Garden au piga simu kwa mawasiliano zaidi : 0754 600192.
NAFASI ZA KAZI!
Madeni App: Mfumo Bora wa Kudai Madeni Uliotamadal na Kujitegemea (Automatiki)
