Wakala Wa Mauzo (Sales Agents) at Platinum Credit Tanzania Dar es salaam June 2026 ( Form 4 & Above)

Full Time

Website Platinum Credit Tanzania

Platinum Credit Tanzania

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI: WAKALA WA MAUZO (SALES AGENTS)

  • Kampuni: Platinum Credit Ltd

  • Mahali (Location): Dar es Salaam

  • Kiwango cha Elimu: Kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea

  • Uzoefu: Wastani / Chini ya mwaka mmoja (Hakuna uzoefu mkubwa unaohitajika)

  • Aina ya Malipo: Kamisheni (Commission-based)

Muhtasari wa Kazi

Platinum Credit Ltd inatafuta Wakala wa Mauzo kwa haraka watakaofanya kazi katika mkoa wa Dar es Salaam.

Majukumu ya Kazi (Key Responsibilities)

  • a) Kupanga sehemu ya kwenda kufanya mauzo.

     

  • b) Kushiriki katika shughuli za masoko na kutangaza bidhaa za kampuni.

     

  • c) Kujibu maswali ya wateja.

     

  • d) Kumuelekeza mteja kujaza fomu pamoja na nyaraka zinazohitajika.

     

Sifa za Muombaji (Qualifications & Requirements)

  • a) Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.

  • b) Awe na uzoefu wa kazi za mauzo na masoko.

  • c) Awe na uwezo wa kujieleza vizuri.

  • d) Awe na utayari na uwezo wa kujifunza kazi kwa haraka.

  • e) Awe na simu janja (Smartphone).

  • f) Awe na umri kati ya miaka 20–27.

  • g) Awe anaishi Dar es Salaam.

Jinsi ya Kutuma Maombi (How to Apply)

Mwombaji anatakiwa kutuma barua ya maombi ikambatana na wasifu wa kazi (CV) kwa njia ya barua pepe au kuwasiliana kwa simu:

📧 Barua Pepe (Email): careerslbf@platinumcredit.co.tz

📞 Simu (Call/WhatsApp): 0652459647

To apply for this job email your details to careerslbf@platinumcredit.co.tz

Spread the love