Tangazo La Kazi Saluni Mpya Dar Es Salaam , September 2026

Full Time

Saluni Mpya Dar es Salaam

Saluni Mpya Dar es Salaam

TANGAZO LA KAZI SALUNI MPYA DAR ES SALAAM
Tunatafuta wataalamu wenye uzoefu katika huduma za urembo na nywele kujiunga na timu yetu. Ikiwa una ujuzi na shauku ya ubunifu, hii ni nafasi yako!
NAFASI ZINAZOPATIKANA
  • HAIR STYLISTS
    • Wenye uzoefu katika wigs, weaves, knots na kufanya styles zote za nywele.
  • NAIL TECHNICIANS
    • Wenye ujuzi wa kutunza kucha na design za kisasa.
  • MAKEUP ARTISTS
    • Wenye uwezo wa kufanya makeup za kila aina (natural, bridal, glam, n.k).
  • BEAUTY EXPERTS
    • Wenye uzoefu katika huduma za skincare, facials, na matibabu mengine ya urembo.
MAOMBI NA MAWASILIANO
  • TUMA CV YAKO: Pia tuma video au picha za kazi zako (styles).
  • Mwisho wa kupokea maombi ni: Tarehe 22 Septemba 2026.
Jiunge nasi, tusaidie kuleta uzuri na ujasiri!

To apply for this job please visit wa.link.

Spread the love