Asha Salon
Nafasi Ya Kazi Saluni, (Salon Job Vacancy) – Asha Salon – Magomeni, Dar es Salaam
TANGAZO LA KAZI SALOON 🪷
Anahitajika Msusi mwenye uwezo na moyo na kazi.
Sifa zinazohitajika:
-
Jinsia: Wa kike
-
Ujuzi: Awe anaujuzi wa kusuka style zote na aina zote za nywele.
-
Tabia: Awe mwenye heshima, lugha nzuri kwa wateja, na msafi.
-
Uzoefu: Awe na uzoefu wa kazi na kuweza kufanya kazi kwa uadilifu.
Jinsi ya Kutuma Maombi ya Nafasi hii ya Kazi:
Mahali na Mawasiliano:
-
📍 Ofisi ipo: Magomeni Mwembechai
-
📞 Mawasiliano / WhatsApp : 0753781979
See: How to make your CV stand out to the Recruiter
See also: To include a Photo or not to include a Photo on a CV ?
See also :CV Writing Services
To apply for this job please visit wa.link.
