
Website Anny Trading Company
Office Attendant at Anny Trading Company, Dar es Salaam – September 2025.
NAFASI YA KAZI – ANNY TRADING COMPANY
Kampuni ya Anny Trading Company inayojishughulisha na huduma za uwakala wa simu, benki na vifaa vya Stationery, inatangaza nafasi ya kazi kwa Mfanyakazi wa Ofisini.
Location: Mwenge, Dar es Salaam
Vigezo vya Mwombaji:
• Awe amehitimu kidato cha sita (Form Six) na angalau Cheti, Diploma au Shahada.
• Awe na uelewa mzuri wa hesabu.
• Awe na uelewa na uzoefu wa huduma kwa wateja (Customer Care).
• Awe anajua kuzungumza na kuandika vizuri Kiswahili na Kiingereza.
• Awe msafi, mwenye nidhamu, uwajibikaji na uaminifu.
• Awe na umri usiozidi miaka 30.
• Kipaumbele kitapewa mwombaji wa kike.
Majukumu ya Kazi:
• Kuhudumia na kuwakaribisha wateja kwa weledi.
• Kusaidia katika shughuli za uwakala na mauzo ya Stationery.
• Kufanya miamala na shughuli za benki kwa niaba ya kampuni.
• Kutunza usafi na mpangilio wa ofisi.
• Kuandaa na kutunza kumbukumbu ndogo ndogo za kifedha.
• Kusaidia shughuli nyingine za kila siku kulingana na maelekezo ya mwajiri.
Masharti ya Ajira:
• Mshahara: TZS 250,000/= kwa mwezi.
• Mwisho wa kutuma maombi: 28/09/2025.
Jinsi ya Kutuma Maombi:
Tuma maombi yako pamoja na CV kupitia barua pepe ifuatayo:
📧 annytcltd@gmail.com
Summary of the Job Advert
Job Title: Office Worker/ Attendant
Company: Anny Trading Company
Industry: Mobile agent services, banking, and stationery
Location: Location: Mwenge, Dar es Salaam
Candidate Requirements
- Education: Form Six graduate with at least a Certificate, Diploma, or Degree.
- Skills: Good understanding of mathematics, customer care experience, and fluency in both written and spoken Swahili and English.
- Personal Attributes: Cleanliness, discipline, accountability, and trustworthiness.
- Age: Not exceeding 30 years old.
- Gender: Female candidates will be given priority.
Job Responsibilities
- Welcoming and serving customers professionally.
- Assisting with agent services and stationery sales.
- Handling company transactions and banking activities.
- Maintaining office cleanliness and organization.
- Preparing and maintaining basic financial records.
- Assisting with other daily tasks as instructed.
Employment Terms
- Salary: TZS 250,000 per month.
- Application Deadline: September 28, 2025.
Application Method
- Send your application and CV via email to annytcltd@gmail.com.
Madeni App: Mfumo Bora wa Kudai Madeni Uliotamadal na Kujitegemea (Automatiki)
View: Free Cover Letter Sample for Internship / Graduate Trainee Job Application
Kito Jewels: ✨Elegance That Lasts✨ | ✨Mng’ao unaodumu✨
To apply for this job email your details to annytcltd@gmail.com