Msaidizi wa Rasilimali Watu (HR Assistant) at Usangu Group , Dar es Salaam October 2026

Full Time

Website Usangu Group

Usangu Group

Tangazo la Kazi: Msaidizi wa Rasilimali Watu (HR Assistant) – Usangu Group

Kampuni: Usangu Group
Msemo wa Kampuni: Possibility in all directions…!!!
Mahali: Tabata Matumbi, Dar es Salaam, Tanzania
Sekta: Usafirisha na Logistics (Transport & Logistics)
Uzoefu: Miaka 4–6 (Kipaumbele Sekta ya Usafirishaji na Logistics)

Sifa Zinazohitajika

  • Elimu: Shahada ya Kwanza katika Usimamizi wa Rasilimali Watu, Utawala wa Biashara au fani inayohusiana.
  • Uzoefu: Miaka 4–6 katika kazi za HR (kipaumbele zaidi ni sekta ya usafirishaji na logistics).
  • Sheria za Kazi: Ufahamu mzuri wa sheria za kazi Tanzania.
  • Ujuzi wa Mawasiliano: Mawasiliano mazuri na uwezo wa kushirikiana na watu.
  • Ujuzi wa Kompyuta: Ujuzi wa MS Office na mifumo ya HR.

Majukumu ya Kazi

  • Kusaidia usaili na kuingiza wafanyakazi wapya (Recruitment & Onboarding).
  • Kutunza kumbukumbu na mafaili ya wafanyakazi.
  • Kusaidia malipo na masuala ya kisheria.
  • Kushughulikia mahusiano ya wafanyakazi.

Jinsi ya Kuomba

Tuma CV yako pamoja na Barua ya Maombi kwa kutumia njia zifuatazo:
  • 📧 Barua Pepe (Email): legal@usangu.co.tz
  • 👤 Attn: ANETH CHARLES

To apply for this job email your details to legal@usangu.co.tz

Spread the love