Website Usangu Group
Usangu Group
Tangazo la Kazi: Msaidizi wa Rasilimali Watu (HR Assistant) – Usangu Group
Kampuni: Usangu Group
Msemo wa Kampuni: Possibility in all directions…!!!
Mahali: Tabata Matumbi, Dar es Salaam, Tanzania
Sekta: Usafirisha na Logistics (Transport & Logistics)
Uzoefu: Miaka 4–6 (Kipaumbele Sekta ya Usafirishaji na Logistics)
Sifa Zinazohitajika
-
Elimu: Shahada ya Kwanza katika Usimamizi wa Rasilimali Watu, Utawala wa Biashara au fani inayohusiana.
-
Uzoefu: Miaka 4–6 katika kazi za HR (kipaumbele zaidi ni sekta ya usafirishaji na logistics).
-
Sheria za Kazi: Ufahamu mzuri wa sheria za kazi Tanzania.
-
Ujuzi wa Mawasiliano: Mawasiliano mazuri na uwezo wa kushirikiana na watu.
-
Ujuzi wa Kompyuta: Ujuzi wa MS Office na mifumo ya HR.
Majukumu ya Kazi
-
Kusaidia usaili na kuingiza wafanyakazi wapya (Recruitment & Onboarding).
-
Kutunza kumbukumbu na mafaili ya wafanyakazi.
-
Kusaidia malipo na masuala ya kisheria.
-
Kushughulikia mahusiano ya wafanyakazi.
Jinsi ya Kuomba
Tuma CV yako pamoja na Barua ya Maombi kwa kutumia njia zifuatazo:
-
📧 Barua Pepe (Email):
legal@usangu.co.tz -
👤 Attn: ANETH CHARLES
To apply for this job email your details to legal@usangu.co.tz
