Website MSL Security Company Limited
MSL Security Company Limited
Normal
0
false
false
false
false
EN-US
ZH-CN
X-NONE
/* Style Definitions */
table.MsoNormalTable
{mso-style-name:”Table Normal”;
mso-tstyle-rowband-size:0;
mso-tstyle-colband-size:0;
mso-style-noshow:yes;
mso-style-priority:99;
mso-style-parent:””;
mso-padding-alt:0cm 5.4pt 0cm 5.4pt;
mso-para-margin:0cm;
mso-pagination:widow-orphan;
font-size:10.0pt;
font-family:”Calibri”,sans-serif;
mso-ascii-font-family:Calibri;
mso-ascii-theme-font:minor-latin;
mso-hansi-font-family:Calibri;
mso-hansi-theme-font:minor-latin;
mso-bidi-font-family:”Times New Roman”;
mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}
🚨 TANGAZO LA KAZI 🚨
🏢 MSL SECURITY LIMITED
📍 Kawe – Dar es Salaam
Tunakaribisha wanawake na wanaume wenye sifa kujiunga nasi katika nafasi za kazi za ulinzi.
✅ SIFA ZA MWOMBAJI:
✔ Awe raia wa Tanzania
✔ Elimu kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea
✔ Umri kati ya miaka 23 – 45
✔ Awe timamu wa mwili na akili
✔ Awe na NIDA au namba ya NIDA
✔ Awe anajua kuzungumza na kuelewa Kiingereza
✔ Awe na TIN Number
✔ Awe na mafunzo ya JKT (faida zaidi)
✔ Awe na barua ya Serikali ya Mtaa
✔ Awe na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho
🕛 MUDA WA KAZI:
Saa 12 kwa mfumo wa zamu.
📌 Waombaji wenye sifa wafike ofisi za kampuni zilizopo Kawe – Dar es Salaam.
📞 MAWASILIANO:
0758 132 070
MSL SECURITY LIMITED
“ALWAYS VIGILANT”
