Website MSL Security Company Limited
MSL Security Company Limited
🚨 NAFASI ZA KAZI YA ULINZI – MSL SECURITY LIMITED
Kampuni ya MSL Security Limited, yenye makao yake makuu Kawe, Dar es Salaam, inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi katika nafasi za Ulinzi (Security Guards) kwa wanawake na wanaume.
✅ SIFA ZA MWOMBAJI:
-
Uraia: Awe raia wa Tanzania.
-
Elimu: Awe na elimu kuanzia Kidato cha Nne na kuendelea.
-
Umri: Awe na umri kati ya miaka 23 hadi 45.
-
Afya: Awe timamu wa mwili na akili.
-
Utambulisho: Awe na kitambulisho cha NIDA au Namba ya NIDA.
-
Lugha: Awe na uwezo wa kuzungumza na kuelewa vizuri lugha ya Kiingereza.
-
Kodi: Awe na Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN Number).
-
Ziada: Uzoefu au mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ni sifa ya ziada.
-
Nyaraka: Awe na barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho.
🕛 MUDA WA KAZI:
-
Saa 12 kwa mfumo wa zamu (shifts).
📌 JINSI YA KUTUMA MAOMBI:
Waombaji wote wenye sifa wanakaribishwa kufika moja kwa moja katika ofisi za kampuni zilizopo Kawe – Dar es Salaam, au wanaweza kutuma maombi yao kupitia barua pepe:
-
Barua Pepe: hr@mslsecurityltd.com
-
Namba ya Simu: 0758 132 070
MSL SECURITY LIMITED“ALWAYS VIGILANT”
To apply for this job email your details to hr@mslsecurityltd.com
