
Website AirPrint & Graphics Solutions (T) Ltd
AirPrint & Graphics Solutions (T) Ltd | Kampuni ya ubunifu na uchapishaji ya kisasa iliyoko Dar es Salaam, Tanzania.
Marketing Expert Job Vacancy at Airprint
🎯 TUNATAFUTA MFANYAKAZI!
Je, una ujuzi wa masoko na uko tayari kujiunga na timu yenye ubunifu? Hii ni nafasi yako!
📍 Dar es Salaam | 🗓 21–25 Juni | 👩 Kipaumbele kwa wanawake
✉ Tuma CV & barua ya maombi kwa: airprint08@gmail.com
📞 +255 684 580 055
🎯 WE ARE HIRING!
Are you a marketing pro ready to join a creative team? This is your chance!
📍 Dar es Salaam | 🗓 21–27 June | 👩 Women encouraged to apply
Key Qualifications:
✔ Degree in Marketing
✔ 2 years experience
✔ Positive attitude & discipline
✉ Send your CV & application to: airprint08@gmail.com
📞 +255 684 580 055
🔵 Airprint – We turn your ideas into reality!
Marketing Officer Job Vacancy at Airprint

Kuhusu AirPrint & Graphics Solutions (T) Ltd
AirPrint & Graphics Solutions (T) Ltd | Kampuni ya ubunifu na uchapishaji ya kisasa iliyoko Dar es Salaam, Tanzania. Tunatoa huduma za kiwango cha juu kwa biashara yako:
Uchapishaji Mkubwa: Mabango na wall graphics zenye ubora wa kipekee. 🖼️
Vifaa vya Matangazo: Vipeperushi, broshua, na mabango ya roll-up ili kuvutia wateja wako. 📊
Branding za Magari: Badilisha gari lako kuwa tangazo linalotembea na kuvutia. 🚗
Stika za Kipekee: Stika bora kwa matangazo, ufungashaji, na mapambo. 🎯
Branding za Ofisi: Boresha muonekano wa ofisi yako kwa weledi wa kisasa. 🏢
Kalenda na T-Shirts: Bidhaa maalum kwa promosheni na zawadi zinazovutia. 👕📆
Kwa AirPrint, ubunifu wa kisasa na uchapishaji wa kiwango cha juu vinaenda sambamba na bei nafuu! Tunajali ubora, uharaka, na mahitaji ya mteja kwa kila mradi.
📍 Sinza Palestina, Maneti Street, Dar es Salaam
📞 0684 503 669
✉️ airprint08@gmail.com
Recommended: Read our Job Tips Here to enhance your Application
To apply for this job email your details to airprint08@gmail.com