Nafasi ya kazi: Key Account Manager – Ihalula Company Limited, Mpanda , Katavi September 2026

Full Time

Website Ihalula Company Limited

Ihalula Company Limited

NAFASI YA KAZI

Ihalula Traders

Stronger Connections, Brighter Futures

KEY ACCOUNT MANAGER (KAM)

Eneo la Kazi: Mpanda Urban
Deadline: 29 September, 2026

MAJUKUMU MAKUU

  1. Kutafuta na kuleta wateja wapya wa Lipa za Airtel.
  2. Kufanya re-activation ya wateja wa zamani wa Lipa za Airtel ambao hawafanyi miamala.
  3. Kujenga na kudumisha mahusiano mazuri na wafanyabiashara/wateja.
  4. Kufuatilia matumizi na shughuli za wateja wa Lipa za Airtel ili kuongeza miamala.
  5. Kufanya ziara za kibiashara na kutafuta fursa mpya za wateja.
  6. Kuandaa na kuwasilisha taarifa za kazi na performance kwa uongozi.
  7. Kufanya kazi kwa kuzingatia malengo (targets) ya kampuni.

SIFA

  • Elimu ya angalau Kidato cha Nne (Form Four).
  • Uzoefu katika sales, customer acquisition, merchant acquisition au mobile money (faida).
  • Uwezo mzuri wa mawasiliano na kushawishi wateja.
  • Tayari kufanya kazi kwa malengo na kufanya field work.
  • Mwaminifu, mwenye nidhamu na uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea.

JINSI YA KUTUMA MAOMBI

To apply for this job email your details to recruitments@ihalulatraders.co.tz

Spread the love