Website Shamool Hotel
Shamool Hotel
-
Kusafisha na kuandaa vyumba vya wageni kwa viwango vya juu vya ubora.
-
Kuhakikisha usafi wa vyumba, mabafu, na maeneo yote ya pamoja (public areas) muda wote.
-
Kusaidia kazi za dobi (laundry), ikiwemo kufua, kupiga pasi, na kupanga mashuka.
-
Kusaidia kutoa huduma kwa wageni na kushirikiana na idara nyingine pale inapohitajika.
-
Kufanya kazi kwa kujitegemea pamoja na kushirikiana vyema na wenzako.
-
Awe na uzoefu wa kazi ya usafi wa hoteli (Housekeeping).
-
Uzoefu katika masuala ya dobi (laundry) na kusaidia idara nyingine utakuwa ni sifa ya ziada.
-
Awe na umakini, uaminifu, bidii, na nidhamu ya hali ya juu kazini.
-
Uwezo wa kujiongeza (kuona kazi inayohitajika na kuifanya bila kusubiri kuambiwa).
-
Moyo wa ushirikiano na utayari wa kujifunza kazi mbalimbali.
-
Kujua lugha ya Kiingereza ni faida ya ziada, lakini si lazima.
-
Wasifu binafsi (CV).
-
Maelezo ya uzoefu wako wa kazi.
-
Kiwango cha mshahara unaotarajia kwa mwezi.
-
Tarehe ambayo utakuwa tayari kuanza kazi.
To apply for this job email your details to info@shamool.com
