Website Ihalula Company Limited
Ihalula Company Limited
Supervisor – YAS
Job Vacancy
IHALULA COMPANY LIMITED inakaribisha waombaji wenye sifa kuomba nafasi ya Supervisor – YAS.
Majukumu Makuu
- Kusimamia shughuli zote za Lipa za Mixx by YAS na B2B katika eneo alilopangiwa.
- Kusimamia na kufuatilia utendaji wa timu ya mauzo.
- Kutathmini mauzo na kuandaa ripoti za kila siku, wiki na mwezi.
- Kubuni na kutekeleza mikakati ya kuongeza wateja, mauzo na matumizi ya huduma za Lipa za Mixx by YAS.
- Kuhudumia wateja na kusaidia kutatua changamoto zinazohusiana na huduma za Lipa za Mixx by YAS.
- Kushirikiana na YAS katika utekelezaji wa shughuli na kufikia malengo yaliyowekwa.
- Kuhakikisha timu inafikia malengo ya mauzo na utendaji.
Sifa za Mwombaji
- Awe na elimu ya Form Four na kuendelea.
- Awe na uzoefu katika Sales au Operations.
- Awe na uelewa wa Telecom na huduma za Lipa za Mixx by YAS.
- Awe na uwezo mzuri wa uongozi na usimamizi wa timu.
- Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano, ufuatiliaji na utatuzi wa changamoto.
Jinsi ya Kutuma Maombi
Tuma maombi yako kupitia:
Email: recruitments@ihalulatraders.co.tz
Application Deadline
30 September 2026
To apply for this job email your details to recruitments@ihalulatraders.co.tz
