
Website Wildman Gallery Ltd
Nafasi ya Kazi , Wildman Gallery Ltd – Nahodha Msaidizi
Kampuni ya Wildman Gallery inatafuta Nahodha msaidizi
Cheo: Nahodha msaidizi.
Kampuni ya Wildman Gallery inatafuta Nahodha msaidizi wa Jahazi.
Eneo:Kampuni ya Wildman gallery ipo Mjimwema Beach hapa Kigamboni.
Sifa:
1.Nahodha msaidizi anatakiwa kufahamu kuendesha boti aina ya jahazi walau kutumia enginge 40HP.
2. Awe na umri angalau kuanzia 22 na kuendelea
5. Awe anaweza kuishi kigamboni
6. Awe mchapakazi
7.Mshahara 200,000TZS
8.Anatakiwa awe ni myu mwenye lugha nzuri
Atume barua yake ya maombi kwenda email: wildmangallerytz@gmail.com
Au alete maombi yake moja kwa moja ofisini kwetu hapa Mjimwema Beach au apige simu 0693266327
Maombi ni kuanzia leo 25/05/2025 hadi 25/06/2025
Tembelea kurasa zetu za kitandao ya kijamii instagram & Tiktok @wildmangallery , @dhowindar &@mogidives
To apply for this job email your details to wildmangallerytz@gmail.com