Website Mapinga Premium Foods
Mapinga Premium Foods
DEREVA
MAPINGA PREMIUM FOODS
JIUNGE NA TIMU YETU | NAFASI: DEREVA
Job Overview
-
Kampuni: Mapinga Premium Foods
-
Nafasi (Position): DEREVA
-
Eneo la Kazi (Location): Tabata (Dar es salaam)
Requirements (Vigezo na Masharti)
-
Leseni halali ya Udereva Daraja E.
-
Uzoefu wa angalau miaka 3 katika uendeshaji wa magari makubwa.
-
Rekodi nzuri ya udereva pamoja na uelewa mzuri wa sheria za usalama barabarani.
-
Uwezo wa kufanya ukaguzi wa msingi wa gari na kuripoti hitilafu za kiufundi.
-
Afya njema na utayari wa kusafiri pale inapohitajika.
-
Uadilifu, weledi, na uwajibikaji wa hali ya juu.
Jinsi ya Kutuma Maombi (How to Apply)
Tuma maombi kupitia: careers@mapingapremiumfoods.com
📅 Mwisho wa Kutuma Maombi (Deadline): Kabla ya 02/10/2026
To apply for this job email your details to careers@mapingapremiumfoods.com
