Website Leymax Cakes
Leymax Cakes
Mhudumu wa Mauzo – Leymax Cakes
Taarifa Muhimu
-
Nafasi: Mhudumu wa Mauzo
-
Mwajiri: Leymax Cakes
-
Eneo la Kazi: Kinondoni Manyanya, Dar es Salaam
-
Mwisho wa Kutuma Maombi: Haujatajwa kwenye tangazo
Sifa
-
Uaminifu, umakini kwenye hesabu, na mawasiliano mazuri.
-
Computer literacy (uwezo wa kutumia kompyuta – mfano: Word, Excel, mfumo wa mauzo).
-
Ujuzi wa Content Creation utapewa kipaumbele zaidi.
Majukumu
-
Kupokea na kuratibu oda za wateja.
-
Kupokea malipo na kurekodi mauzo.
-
Kufanya hesabu za mauzo kila siku.
Jinsi ya Kuomba
-
Nyaraka Inayohitajika: CV.
-
Njia za Kutuma: Tuma CV yako kupitia barua pepe (email) leymaxfoodproducts@gmail.com au WhatsApp namba 0758285868.
- Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 27, November 2026.
To apply for this job email your details to leymaxfoodproducts@gmail.com
