Nafasi Za Kazi: Key Account Manager (KAM) – Skynet Communication, Mikoa Mbalimbali Septemba 2026

Full Time

Website Skynet Communication

Skynet Communication

Key Account Manager (KAM) at Airtel

Job Vacancy

Position: Key Account Manager (KAM)

Job Locations

The position is available in the following locations:

  • Arusha – Tengeru, Muriet
  • Korogwe – Soni
  • Manyara – Katesh, Haydom
  • Ruvuma – Tunduru Rural
  • Geita – Katoro

Majukumu Makuu

  1. Kutafuta na kuleta wateja wapya wa Lipa za Airtel.
  2. Kufanya re-activation ya wateja wa zamani wa Lipa za Airtel.
  3. Kuzifuatilia Lipa ambazo hazifanyi miamala ili ziwe active tena.
  4. Kujenga na kudumisha mahusiano mazuri na wafanyabiashara/wateja.
  5. Kufuatilia matumizi na shughuli za Lipa ili kuongeza kiwango cha miamala.
  6. Kufanya ziara za kibiashara na kutafuta fursa mpya za kazi.
  7. Kuandaa na kuwasilisha taarifa za kazi na performance kwa uongozi.
  8. Kufanya kazi kwa kuzingatia malengo (targets) yaliyowekwa.

Sifa za Mwombaji

  1. Awe na elimu ya angalau Kidato cha Nne (Form Four).
  2. Uzoefu katika Sales, Customer Acquisition, Merchant Acquisition au Mobile Money utakuwa faida.
  3. Awe na uwezo mzuri wa mawasiliano na kushawishi wateja.
  4. Awe tayari kufanya kazi za field na kufikia targets.
  5. Awe mwaminifu, mwenye nidhamu na uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea.
  6. Awe tayari kufanya kazi katika eneo aliloomba.

Application Details

Email: hr@skynettz.co.tz

Subject: APPLICATION FOR KEY ACCOUNT MANAGER - [LOCATION]

Mfano:
APPLICATION FOR KEY ACCOUNT MANAGER - ARUSHA TENGERU

Application Deadline

29 September 2026

To apply for this job email your details to hr@skynettz.co.tz

Spread the love