Website MSL Security Company Limited
MSL Security Company Limited
TANGAZO LA KAZI
MSL SECURITY COMPANY LIMITED
P.O. BOX 8273,
Kawe – Dar es Salaam
Kampuni ya MSL Security Company Limited inatangaza nafasi za kazi kwa wanawake na wanaume wenye uwezo wa kuzungumza na kuelewa lugha ya Kiingereza.
SIFA ZA MWOMBAJI
Mwombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:
1. Awe raia wa Tanzania.
2. Awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
3. Awe na umri kati ya miaka 23 hadi 45.
4. Awe timamu wa mwili na akili.
5. Awe na barua ya utambulisho kutoka Serikali ya Mtaa.
6. Awe na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho wa udhamini kutoka Serikali ya Mtaa.
7. Asiwe na rekodi ya matukio ya kihalifu au makosa ya jinai.
8. Awe na namba au kitambulisho cha NIDA.
9. Awe anajua lugha ya Kiingereza.
10. Awe na tin namba.
11. Awe amepitia mafunzo ya JKT, mgambo au scout
MUDA WA KAZI
Masaa ya kazi ni saa 12 kwa mfumo wa zamu:
– Kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni.
Waombaji wote wenye sifa wanakaribishwa kuwasilisha maombi yao katika ofisi za kampuni zilizopo Kawe.
Tuma CV na Barua ya Maombi ya Kazi kupitia barua pepe: hr@mslsecurityltd.com
MSL SECURITY COMPANY LIMITED
“Your Safety is Our Priority”
To apply for this job email your details to hr@mslsecurityltd.com
