Information Consultancy Limited
Information Consultancy Limited
Wadada Wahudumu wa Stationery (Nafasi 2)
Kuhusu Nafasi Hii
Sifa na Vigezo Vinavyohitajika
-
Elimu: Awe na elimu kuanzia ngazi ya Diploma na kuendelea.
- Jinsia : Kike
-
Lugha: Awe na uwezo mzuri wa kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiingereza.
-
Uzoefu wa Maombi Mtandaoni (Online Applications):
-
Awe amewahi kufanya maombi ya Pasipoti ya Kusafiria (e-Passport) mtandaoni.
-
Awe amewahi kufanya maombi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) na huduma za RITA mtandaoni.
-
Awe amewahi kufanya maombi ya ajira kupitia Ajira Portal.
-
Awe amewahi kufanya maombi ya TIN Number (TRA) mtandaoni.
-
Awe na ufahamu wa mifumo mingine ya maombi ya mtandaoni isiyopungua minne (4) tofauti na iliyotajwa hapo juu.
-
-
Ujuzi wa Kompyuta: Awe na uelewa mzuri wa Microsoft Word pamoja na matumizi sahihi ya Barua Pepe (Email).
Sifa za Ziada (Zitakazoongeza Nafasi)
-
Ufahamu wa kutumia Microsoft Excel.
-
Ujuzi wa Graphics Design (kudesign kadi, mabango/posters, n.k).
Malipo na Marupurupu
-
Mshahara: TZS 223,000/= kwa mwezi.
-
Marupurupu: Chakula cha mchana kitalipiwa na ofisi.
Jinsi ya Kutuma Maombi
-
CV (Wasifu Binafsi)
-
Picha moja ya Pasipoti (Passport Size)
-
Nakala ya Kitambulisho
To apply for this job email your details to ajira.maombi.information@gmail.com
