Hotel in Bagamoyo
Hotel in Bagamoyo
Wafanyakazi wa Usafi Hotelini (Hotel Cleaners)
Kuhusu Nafasi Hii
Majukumu Makuu
-
Usafi wa Vyumba na Dobi (Housekeeping & Laundry): Kufanya usafi wa vyumba vya wageni, kufua, na kunyoosha mashuka pamoja na nguo nyingine za hoteli.
-
Usafi wa Mazingira ya Hoteli: Kufanya usafi wa mazingira yote ya hoteli ikiwa ni pamoja na jikoni, vyooni, bustani (garden), na majukumu mengine yanayohusiana na usafi hotelini.
Sifa na Vigezo Vinavyohitajika
-
Elimu: Elimu ya sekondari au chuo (Shahada / Degree haihitajiki).
-
Utambulisho na Upatikanaji: Lazima uwe na Kitambulisho cha Taifa (NIDA), uwe tayari kuanza kazi mara moja, na uwe tayari kulala kazini inapohitajika kutokana na muda wa kufunga biashara.
-
Uzoefu na Maadili ya Kazi: Uwe na uzoefu wa kazi za usafi, uwe mtu anayejali kiwango cha juu cha usafi, na uelewe kanuni na taratibu za huduma za ukarimu (hospitality).
-
Kipaumbele: Wanawake wenye umri wa miaka 22–30 wanapewa kipaumbele.
Jinsi ya Kutuma Maombi
-
Jina lako kamili
-
Umri wako
-
Jinsia yako
-
Eneo unaloishi kwa sasa
-
Matarajio yako ya mshahara
-
Namba ya simu inayopatikana kupigiwa simu muda wote
+255 762 107 868-
USITUME CV.
-
USIPIGE SIMU.
-
USITUME ujumbe ulioandikwa na AI (maombi yaliyoandikwa kwa kutumia AI yatatupiliwa mbali moja kwa moja).
To apply for this job please visit wa.link.
