Website Kaliman Electric
Kaliman Electric
📢 *NAFASI ZA KUJITOLEA – SALES INTERN* 📢
Je, una shauku ya kujifunza na kukua katika eneo la mauzo (sales)? Tunatafuta vijana wenye motisha na ari ya kujifunza kujiunga nasi kama *Sales Intern (Wafanyakazi wa Kujitolea)*.
🔹 *Majukumu yako:*
* Kutafuta na kuwasiliana na wateja wapya
* Kusaidia katika mikakati ya mauzo na masoko
* Kufuatilia wateja na kuhakikisha huduma bora
* Kutoa mrejesho wa soko na mahitaji ya wateja
🔹 *Sifa zinazohitajika:*
* Uwe na uwezo mzuri wa mawasiliano
* Uwe na nidhamu, ubunifu na kujituma
* Uwe tayari kujifunza na kufanya kazi kwa karibu na timu
* Uzoefu wa sales ni faida, lakini sio lazima
🔹 *Faida utakazopata:*
* Mafunzo ya vitendo (hands-on experience)
* Fursa ya kukuza ujuzi wa mauzo na biashara
* Cheti cha ushiriki (internship certificate)
* Uwezekano wa kuajiriwa kulingana na utendaji
📍 *Mahali:*msasani macho ,kimweri Avenue
📅 *Mwisho wa kutuma maombi:* 06.05.2026
📩 *Jinsi ya kutuma maombi:*
Tuma CV yako kupitia [email hr@kalimanelectric.co.tz au wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
0652594964
Usikose nafasi hii ya kujifunza na kujijenga kitaaluma! 🚀
To apply for this job email your details to hr@kalimanelectric.co.tz
