Website Kaliman Electric
Kaliman Electric
NAFASI ZA KUJITOLEA – SALES INTERNS NA MARKETING INTERNS
Je, una shauku ya kujifunza na kukua katika eneo la mauzo (sales)? Tunatafuta vijana wenye motisha na ari ya kujifunza kujiunga nasi kama *Sales Intern (Wafanyakazi wa Kujitolea)*.
🔹 Majukumu yako:
* Kutafuta na kuwasiliana na wateja wapya
* Kusaidia katika mikakati ya mauzo na masoko
* Kufuatilia wateja na kuhakikisha huduma bora
* Kutoa mrejesho wa soko na mahitaji ya wateja
🔹 Sifa zinazohitajika:
* Uwe na uwezo mzuri wa mawasiliano
* Uwe na nidhamu, ubunifu na kujituma
* Uwe tayari kujifunza na kufanya kazi kwa karibu na timu
* Uzoefu wa sales ni faida, lakini sio lazima
🔹 Faida utakazopata:
* Mafunzo ya vitendo (hands-on experience)
* Fursa ya kukuza ujuzi wa mauzo na biashara
* Cheti cha ushiriki (internship certificate)
* Uwezekano wa kuajiriwa kulingana na utendaji
📍 Mahali: msasani macho ,kimweri Avenue
Mwisho wa kutuma maombi: 13.06.2026
📩 Jinsi ya kutuma maombi:
Tuma CV yako kupitia email : hr@kalimanelectric.co.tz au wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
0652594964
Usikose nafasi hii ya kujifunza na kujijenga kitaaluma!
To apply for this job email your details to hr@kalimanelectric.co.tz
