Website Milan Fiber
Milan Fiber
Tangazo la Ajira: Dereva wa Gari Kubwa at Milan Fiber, Arusha – Septemba 2026
Dereva wa Gari Kubwa
Kampuni ya Milan Cable Television (MilanFiber) inakaribisha maombi ya kazi kwa nafasi ya Dereva wa Gari Kubwa. Dereva atahusika na kuendesha magari ya kampuni kwa usalama, kusafirisha vifaa vya kiufundi na nguzo, pamoja na kusaidia timu ya ufundi katika maeneo ya kazi.
Sifa za Mwombaji
- Awe na leseni halali ya udereva ya Daraja la C (Class C1/C2/C3) au zaidi.
- Awe mwaminifu na mwenye kujituma.
- Awe na elimu ya msingi ya Darasa la Saba au Kidato cha Nne.
- Awe tayari kufanya kazi kwa muda wote.
- Wakazi wa Arusha watapewa kipaumbele.
Jinsi ya Kuomba
Waombaji wanapaswa kutuma ujumbe au kuwasiliana kupitia:
WhatsApp: 0713 567 401
Email: hr@mctv.co.tz
To apply for this job email your details to hr@mctv.co.tz
