Tangazo la Ajira: Msaidizi wa Kazi za Ufundi at Milan Fiber, Arusha – Septemba 2026

Full Time
  • Full Time
  • Arusha

Website Milan Fiber

Milan Fiber

Tangazo la Ajira: Msaidizi wa Kazi za Ufundi at Milan Fiber, Arusha – Septemba 2026

Msaidizi wa Kazi za Ufundi

Kampuni ya Milan Cable Television (MilanFiber) inakaribisha maombi ya kazi kwa nafasi ya Msaidizi wa Kazi za Ufundi. Atakayefanya kazi hii atasaidia katika kuvuta nyaya za fiber na kubeba nguzo kwa ajili ya usambazaji wa huduma za kampuni.

Sifa za Mwombaji

  • Awe mwenye nguvu na afya njema.
  • Awe mwaminifu na mwenye kujituma.
  • Awe na elimu ya msingi ya Darasa la Saba au Kidato cha Nne.
  • Awe tayari kufanya kazi kwa muda wote.
  • Wakazi wa Arusha watapewa kipaumbele.

Jinsi ya Kuomba

Waombaji wanapaswa kutuma ujumbe au kuwasiliana kupitia:

WhatsApp: 0713 567 401

Email: hr@mctv.co.tz

To apply for this job email your details to hr@mctv.co.tz

Spread the love