Information Consultancy Limited
Information Consultancy Limited
Nafasi ya Kazi Accountant (Mhasibu) – Mdada (Nafasi 1)at Information Consultancy Limited, Morogoro November 2026
Kazi ya Accountant (Mhasibu) – Information Consultancy Ltd
Taarifa Muhimu
-
Nafasi: Accountant (Mhasibu) – Mdada (Nafasi 1)
-
Mwajiri: Information Consultancy Ltd
-
Eneo la Kazi: Morogoro
-
Mwisho wa Kutuma Maombi: Tarehe 30/11/2026
Sifa na Mahitaji (A. Qualifications)
-
Elimu kuanzia Diploma ya Uhasibu (Accountancy).
-
Uwezo wa kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiingereza.
-
Ujuzi wa kutumia mfumo wa TRA kuandaa RETURN na kujaza kodi za kila mwezi (PAYE, SDL, n.k.).
-
Ujuzi wa kutumia mfumo wa TRA kuandaa REPORT na Income Tax.
-
Uelewa mzuri kuhusu kodi za VAT, Income Tax, PAYE, au Withholding Tax.
Majukumu ya Ziada ya Stationery (B. Kazi za Kila Siku za Stationery)
-
Uzoefu wa kufanya application za Passport ya kusafiria mtandaoni.
-
Uzoefu wa kufanya application za HESLB na RITA mtandaoni.
-
Uzoefu wa kufanya application za Ajira Portal mtandaoni.
-
Uzoefu wa kufanya application za TIN Number.
-
Ujuzi wa kufanya online application nyingine angalau 4 tofauti na zilizotajwa hapo juu.
-
Umahiri mzuri wa kutumia Microsoft Word, Microsoft Excel, na Email.
-
Ujuzi wa graphics design (kwa mfano kutengeneza kadi, mabango/posters, n.k.).
Jinsi ya Kuomba
-
Nyaraka Zinazohitajika (C. Taarifa za Kutuma):
-
Picha moja ya passport size.
-
CV.
-
Kitambulisho.
-
-
Njia za Kutuma Maombi: Tuma maombi yako kupitia WhatsApp namba 0655 118 731 na Email ajira.maombi.information@gmail.com.
-
Tarehe ya Mwisho: 30/11/2026.
To apply for this job email your details to ajira.maombi.information@gmail.com
