Nafasi ya Kazi  Accountant (Mhasibu) – Mdada (Nafasi 1)at Information Consultancy Limited, Morogoro November 2026

Full Time

Information Consultancy Limited

Information Consultancy Limited

Nafasi ya Kazi  Accountant (Mhasibu) – Mdada (Nafasi 1)at Information Consultancy Limited, Morogoro November 2026

Kazi ya Accountant (Mhasibu) – Information Consultancy Ltd

Information Consultancy Ltd inatafuta mwombaji wa kike (Mdada) kwa nafasi moja (Nafasi 1) ya Accountant (Mhasibu) mwenye uwezo pia wa kutekeleza majukumu ya kila siku ya stationery huko Morogoro.

Taarifa Muhimu

  • Nafasi: Accountant (Mhasibu) – Mdada (Nafasi 1)

  • Mwajiri: Information Consultancy Ltd

  • Eneo la Kazi: Morogoro

  • Mwisho wa Kutuma Maombi: Tarehe 30/11/2026

Sifa na Mahitaji (A. Qualifications)

  • Elimu kuanzia Diploma ya Uhasibu (Accountancy).

  • Uwezo wa kusoma na kuandika kwa lugha ya Kiingereza.

  • Ujuzi wa kutumia mfumo wa TRA kuandaa RETURN na kujaza kodi za kila mwezi (PAYE, SDL, n.k.).

  • Ujuzi wa kutumia mfumo wa TRA kuandaa REPORT na Income Tax.

  • Uelewa mzuri kuhusu kodi za VAT, Income Tax, PAYE, au Withholding Tax.

Majukumu ya Ziada ya Stationery (B. Kazi za Kila Siku za Stationery)

Mwombaji awe tayari kufanya kazi za stationery na huduma za mtandaoni, ikiwa ni pamoja na:
  • Uzoefu wa kufanya application za Passport ya kusafiria mtandaoni.

  • Uzoefu wa kufanya application za HESLB na RITA mtandaoni.

  • Uzoefu wa kufanya application za Ajira Portal mtandaoni.

  • Uzoefu wa kufanya application za TIN Number.

  • Ujuzi wa kufanya online application nyingine angalau 4 tofauti na zilizotajwa hapo juu.

  • Umahiri mzuri wa kutumia Microsoft Word, Microsoft Excel, na Email.

  • Ujuzi wa graphics design (kwa mfano kutengeneza kadi, mabango/posters, n.k.).

Jinsi ya Kuomba

  • Nyaraka Zinazohitajika (C. Taarifa za Kutuma):

    • Picha moja ya passport size.

    • CV.

    • Kitambulisho.

  • Njia za Kutuma Maombi: Tuma maombi yako kupitia WhatsApp namba 0655 118 731 na Email ajira.maombi.information@gmail.com.

  • Tarehe ya Mwisho: 30/11/2026.

To apply for this job email your details to ajira.maombi.information@gmail.com

Spread the love